\p \v=7 \v~=Gideoni akajibu, “Kwa ajili ya hilo tu, \nd Bwana\nd* atakapowatia Zeba na Salmuna mkononi mwangu, nitaichana nyama ya miili yenu kwenye miiba ya nyikani na kwenye michongoma.” \¬v \¬p