\v=4 \v~=Wakampa shekeli sabini\f + \fr 9:4 \ft Shekeli 70 za fedha ni sawa na gramu 800.\f* za fedha kutoka hekalu la Baal-Berithi, naye Abimeleki akaitumia kuajiri watu ovyo wasiojali, wakawa ndio wafuasi wake. \¬v