\v=11 \v~=Kwa hivyo, hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*: ‘Nitaleta juu yao maafa ambayo hawawezi kuyakimbia. Hata kama wakinililia, sitawasikiliza. \¬v