\p \v=21 \v~=“Kwa hiyo hili ndilo \nd Bwana\nd* asemalo kuhusu watu wa Anathothi wale wanaotafuta uhai wako wakisema, ‘Usitoe unabii kwa jina la \nd Bwana\nd*, la sivyo utakufa kwa mikono yetu’: \¬v