\v=22 \v~=kwa hiyo hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote asemalo: ‘Nitawaadhibu. Vijana wao waume watakufa kwa upanga, wana wao na binti zao kwa njaa. \¬v