\p \v=9 \v~=Kisha \nd Bwana\nd* akaniambia, “Kuna shauri baya linaloendelea miongoni mwa watu wa Yuda na wale wanaoishi Yerusalemu. \¬v