\v=13 \v~=Kisha uwaambie, ‘Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*: nitawajaza ulevi wote waishio katika nchi hii, pamoja na wafalme waketio juu ya kiti cha enzi cha Daudi, makuhani, manabii na wale wote waishio Yerusalemu. \¬v