\p \v=13 \v~=Lakini nikasema, “Aa, \nd Bwana\nd* Mwenyezi, manabii wanaendelea kuwaambia, ‘Hamtaona upanga wala kukabiliwa na njaa. Naam, nitawapa amani ya kudumu mahali hapa.’ ” \¬v \¬p