\p \v=10 \v~=“Utakapowaambia watu hawa mambo haya yote na wakakuuliza, ‘Kwa nini \nd Bwana\nd* ameamuru maafa makubwa kama haya dhidi yetu? Tumefanya kosa gani? Tumetenda dhambi gani dhidi ya \nd Bwana\nd*, Mungu wetu?’ \¬v