\p \v=16 \v~=“Lakini sasa nitawaagiza wavuvi wengi,” asema \nd Bwana\nd*, “nao watawavua. Baada ya hilo, nitawaagizia wawindaji wengi, nao watawawinda kwenye kila mlima na kilima, na katika nyufa za miamba. \¬v