\p \v=5 \v~=Kwa kuwa hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*: “Usiingie katika nyumba ambayo kuna chakula cha matanga, usiende kuwaombolezea wala kuwahurumia, kwa sababu nimeziondoa baraka zangu, upendo wangu na huruma zangu kutoka kwa watu hawa,” asema \nd Bwana\nd*. \¬v