\v=20 \v~=Waambie, ‘Sikieni neno la \nd Bwana\nd*, enyi wafalme wa Yuda, nanyi watu wote wa Yuda, na kila mmoja aishiye Yerusalemu apitaye katika malango haya. \¬v