\v=21 \v~=Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*: Jihadharini msije mkabeba mzigo siku ya Sabato, wala kuingiza mzigo kupitia malango ya Yerusalemu. \¬v