\v=24 \v~=Lakini mkiwa waangalifu kunitii, asema \nd Bwana\nd*, nanyi msipoleta mzigo wowote kupitia malango ya mji huu wakati wa Sabato, lakini mkaitakasa siku ya Sabato kwa kutofanya kazi siku hiyo, \¬v