\v=3 \v~=nawe useme, ‘Sikieni neno la \nd Bwana\nd*, enyi wafalme wa Yuda na watu wa Yerusalemu. Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: Sikilizeni! Nitaleta maafa mahali hapa, ambayo yatafanya masikio ya kila mmoja atakayesikia habari zake yawashe. \¬v