\v=6 \v~=Hivyo jihadharini, siku zinakuja, asema \nd Bwana\nd*, wakati watu hawatapaita tena mahali hapa Tofethi ama Bonde la Ben-Hinomu, bali Bonde la Machinjo. \¬v \¬p