\c=1 \p \c#=1 \v=1 \v~=Maneno ya Yeremia mwana wa Hilkia, mmoja wa makuhani katika mji wa Anathothi, katika nchi ya Benyamini. \¬v