\p \v=14 \v~=\nd Bwana\nd* akaniambia, “Kutoka kaskazini maafa yatamwagwa kwa wote waishio katika nchi. \¬v