\p \v=9 \v~=Kisha \nd Bwana\nd* akaunyoosha mkono wake na kugusa kinywa changu, akaniambia, “Sasa nimeyaweka maneno yangu kinywani mwako. \¬v