\v=3 \v~=Siku ya pili Pashuri alipomwachia kutoka kwenye mkatale, Yeremia akamwambia, “\nd Bwana\nd* hakukuita jina lako kuwa Pashuri bali Magor-Misabibu.\f + \fr 20:3 \ft Magor-Misabibu maana yake hapa ni Vitisho pande zote.\f* \¬v