\v=10 \v~=Nimekusudia kuufanyia mji huu jambo baya, wala si jema. Utatiwa mikononi mwa mfalme wa Babeli, naye atauteketeza kwa moto, asema \nd Bwana\nd*.’ \¬v \¬p