\p \v=8 \v~=“Zaidi ya hayo, waambie watu hawa, ‘Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*: Tazama, naweka mbele yenu njia ya uzima, na njia ya mauti. \¬v