\m \v=11 \v~=Kwa kuwa hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd* kuhusu Shalumu\f + \fr 22:11 \ft Shalumu ndiye pia anaitwa Yehoahazi.\f* mwana wa Yosia, aliyeingia mahali pa baba yake kuwa mfalme wa Yuda, lakini ameondoka mahali hapa: “Yeye kamwe hatarudi tena. \¬v