\v=2 \v~=‘Sikia neno la \nd Bwana\nd*, ee mfalme wa Yuda, wewe uketiye kwenye kiti cha enzi cha Daudi: wewe, maafisa wako na watu wako mnaopitia malango haya. \¬v