\p \v=24 \v~=“Hakika kama niishivyo,” asema \nd Bwana\nd*, “hata kama wewe, Yekonia\f + \fr 22:24 \ft Yekonia au Konia ni jina jingine la Yehoyakini.\f* mwana wa Yehoyakimu mfalme wa Yuda, ungekuwa pete yangu ya muhuri katika mkono wangu wa kuume, bado ningekungʼoa hapo. \¬v