\v=5 \v~=Lakini kama hutayatii maagizo haya, asema \nd Bwana\nd*, ninaapa kwa nafsi yangu kwamba jumba hili litakuwa gofu.’ ” \¬v \¬p