\v=2 \v~=Kwa hiyo hili ndilo \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli, analowaambia wachungaji wanaowachunga watu wangu: “Kwa sababu mmelitawanya kundi langu na kuwafukuzia mbali, wala hamkuwatunza, basi mimi nitawaadhibu kwa ajili ya uovu mliofanya,” asema \nd Bwana\nd*. \¬v