\v=32 \v~=Kweli, niko kinyume na hao wanaotabiri ndoto za uongo,” asema \nd Bwana\nd*. “Wanazisimulia na kuwapotosha watu wangu kwa uongo wao bila kujali, lakini sikuwatuma wala sikuwaamuru. Hawawafaidi watu hawa hata kidogo,” asema \nd Bwana\nd*. \¬v \¬p