\v=8 \v~=bali watasema, ‘Hakika kama \nd Bwana\nd* aishivyo, aliyewatoa wazao wa Israeli kutoka nchi ya kaskazini na nchi zote alizokuwa amewafukuzia,’ asema \nd Bwana\nd*. Ndipo wataishi katika nchi yao wenyewe.” \¬v \¬p