\p \v=12 \v~=“Lakini miaka sabini itakapotimia, nitamwadhibu mfalme wa Babeli na taifa lake na nchi ya Wakaldayo kwa ajili ya hatia yao,” asema \nd Bwana\nd*. “Nitaifanya kuwa ukiwa milele. \¬v