\v=26 \v~=na wafalme wote wa pande za kaskazini, wa karibu na wa mbali, mmoja baada ya mwingine; yaani falme zote juu ya uso wa dunia. Baada ya hao wote, mfalme wa Sheshaki\f + \fr 25:26 \ft Sheshaki ni Babeli kwa fumbo.\f* atakunywa pia. \¬v \¬p