\v=28 \v~=Lakini kama wakikataa kupokea kikombe kutoka mikononi mwako na kunywa, waambie, ‘Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote: Ni lazima mnywe! \¬v