\v=29 \v~=Tazama, nimeanza kuleta maafa juu ya mji ulio na Jina langu, na je, kweli ninyi mtaepuka kuadhibiwa? Hamwezi kuepuka kuadhibiwa, kwa maana nitaleta vita juu ya wote waishio duniani, asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote.’ \¬v \¬p