\v=3 \v~=Kwa miaka ishirini na mitatu, kuanzia mwaka wa kumi na tatu wa utawala wa Yosia mwana wa Amoni mfalme wa Yuda, hadi siku hii ya leo, neno la \nd Bwana\nd* limekuwa likinijia, nami nimesema nanyi mara kwa mara, lakini hamkusikiliza. \¬v \¬p