\m \v=33 \v~=Wakati huo, hao waliouawa na \nd Bwana\nd* watatapakaa kila mahali, kuanzia mwisho mmoja wa dunia hadi mwisho mwingine. Hawataombolezewa wala kukusanywa au kuzikwa, lakini watakuwa kama mavi yaliyoenea juu ya ardhi. \¬v \¬m