\p \v=4 \v~=Ingawa \nd Bwana\nd* amewatuma watumishi wake wote hao manabii kwenu mara kwa mara, hamkusikiliza wala hamkujali. \¬v