\v=5 \v~=Walisema, “Geukeni sasa, kila mmoja wenu kutoka njia yake mbaya na matendo yake maovu, ndipo mtaweza kukaa katika nchi ambayo \nd Bwana\nd* aliwapa ninyi na baba zenu milele. \¬v