\p \v=10 \v~=Maafisa wa Yuda waliposikia kuhusu mambo haya, wakapanda kutoka jumba la kifalme, wakaenda katika nyumba ya \nd Bwana\nd* na kushika nafasi zao kwenye ingilio la Lango Jipya la nyumba ya \nd Bwana\nd*. \¬v