\p \v=12 \v~=Kisha Yeremia akawaambia maafisa wote na watu wote: “\nd Bwana\nd* amenituma kutoa unabii dhidi ya nyumba hii na mji huu mambo yote mliyoyasikia. \¬v