\v=13 \v~=Sasa tengenezeni njia zenu na matendo yenu, na kumtii \nd Bwana\nd* Mungu wenu. Ndipo \nd Bwana\nd* atawahurumia na kuacha kuleta maafa aliyokuwa ameyatamka dhidi yenu. \¬v