\p \v=16 \v~=Kisha maafisa na watu wote wakawaambia makuhani na manabii, “Mtu huyu asihukumiwe kifo! Amesema nasi katika jina la \nd Bwana\nd*, Mungu wetu.” \¬v \¬p