\v=2 \v~=“Hili ndilo \nd Bwana\nd* asemalo: Simama katika ua wa nyumba ya \nd Bwana\nd* na useme na watu wote wa miji ya Yuda wanaokuja kuabudu katika nyumba ya \nd Bwana\nd*. Waambie kila kitu nitakachokuamuru, usipunguze neno. \¬v