\p \v=7 \v~=Makuhani, manabii na watu wote wakamsikia Yeremia akiyasema maneno haya ndani ya nyumba ya \nd Bwana\nd*. \¬v