\v=8 \v~=Lakini mara tu Yeremia alipomaliza kuwaambia watu kila kitu \nd Bwana\nd* alichomwamuru kukisema, basi makuhani, manabii na watu wote walimkamata wakisema, “Ni lazima ufe! \¬v