\v=9 \v~=Kwa nini unatoa unabii katika jina la \nd Bwana\nd* kwamba nyumba hii itakuwa kama Shilo na mji huu utakuwa ukiwa na kuachwa tupu?” Nao watu wote wakamkusanyikia na kumzunguka Yeremia ndani ya nyumba ya \nd Bwana\nd*. \¬v \¬p