\v=13 \v~=Kwa nini wewe na watu wako mfe kwa upanga, njaa na tauni, ambazo \nd Bwana\nd* ameonya juu ya taifa lolote ambalo halitamtumikia mfalme wa Babeli? \¬v