\v=15 \v~=‘Sikuwatuma hao,’ asema \nd Bwana\nd*. ‘Wanatabiri uongo kwa jina langu. Kwa hiyo, nitawafukuzia mbali, nanyi mtaangamia, ninyi pamoja na manabii wanaowatabiria.’ ” \¬v \¬p