\p \v=16 \v~=Kisha nikawaambia makuhani na watu hawa wote, “Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*: Msiwasikilize manabii wanaosema, ‘Hivi karibuni sana vyombo vya nyumba ya \nd Bwana\nd* vitarudishwa kutoka Babeli.’ Wanawatabiria ninyi uongo. \¬v