\v=18 \v~=Kama wao ni manabii na wanalo neno la \nd Bwana\nd*, basi na wamsihi \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote ili vyombo vilivyobaki katika nyumba ya \nd Bwana\nd* na katika jumba la kifalme la mfalme wa Yuda na katika Yerusalemu visipelekwe Babeli. \¬v