\v=20 \v~=ambavyo Nebukadneza mfalme wa Babeli hakuvichukua wakati alipomchukua Yekonia\f + \fr 27:20 \ft Yekonia au Konia ni jina jingine la Yehoyakini.\f* mwana wa Yehoyakimu mfalme wa Yuda kwenda uhamishoni huko Babeli kutoka Yerusalemu, pamoja na wakuu wote wa Yuda na Yerusalemu. \¬v